Habari zenu Wana JF,
Natumaini ni Wazima , Naomba msaada Jamani , Nina Asali lita 8 nmetoa tabora , Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3 , Sasa Naona Nimekosa njia sahihi ya kuziuza Maana Sina duka.
Na nlitegemea niuze online Lakini Mambo naona Hayajakaa Poa , naomba msaada wenu wa ushauri tu ni vipi naweza kuziuza hizi asali kw reja reja.
Ahsanteni .