nahisi unazungumzia webpage itakayokuwezesha kupata nyimbo nyingi za kibongo...ila software ya kudownload...there are hundreds of downloading managers available online....!!
Mkuu jaribu hii "aTube Catcher" ni free software. Inatumika si kwa mp3 tu bali hata downloading YouTube videos na ukazi-convert katika format unayotaka wewe. Kila la heri!
Naomba kufahamu software inayoweza ku-compress MP3 files, nimewahi kuiona mahali ila siikumbuki jina. Inayafanya mafaili kuwa madogo (size) zaidi hivyo kuweza kuingia mengi zaidi katika mem card
Naomba kufahamu software inayoweza ku-compress MP3 files, nimewahi kuiona mahali ila siikumbuki jina. Inayafanya mafaili kuwa madogo (size) zaidi hivyo kuweza kuingia mengi zaidi katika mem card