MSAADA: SOFTWARE YA KU CONVERT WEBSITE KUWA APP YA ANDROID

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,937
Hallo Tech Gurus,

Mimi hata Html sijui ndio naanza leo kujifunza nimeelekezwa website ya tutorial.
Ila lengo langu nikijua niishie kwenye app ya simu ya android.

Naombeni wajuzi mnipe njia ya kupita kwa mtu aneanza kabisa.

Na je ipo hiyo sofware inapatikana vipi kama ipo

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom