Msaada, Smartphone nzuri ya tsh laki mbili!

Msaada, Smartphone nzuri ya tsh laki mbili!

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Nina tsh laki mbili, je, smartphone gani nzuri? Nimependelea sumsung galaxy star plus, je, ikoje kwa wanaojua?
 
Asee me kwa hiyo laki mbili skushauri utafte simu labda uongezee ili uchukue simu ya maana, jitahidi angalau kilo 3 na nusu
 
Mie nimempa hzo options kutoka na bei yake bro...

Simu ya laki mbili kwa hapa Tz utauziwa simu ya kichina so akiwa na laki 3 na nusu atapata simu original nzuri ambayo yeye mwenyew ataifurahia
 
Shukrani ndugu, Embu nisaidie pia kuzungumzia juu sumsug galaxy star plus Tojo
Asee me kwa hiyo laki mbili skushauri utafte simu labda uongezee ili uchukue simu ya maana, jitahidi angalau kilo 3 na nusu
 
Last edited by a moderator:
Yeah kiujumla Samsung galaxy star plus ni nzuri coz nimeshaiona na kuna rafki yangu anaitumia so kwa simu za Samsung haina shida ila angalia isiwe fake coz mchina katoa copy nyingi, cha kukushauri hakikisha ni original na kuijua kua hii simu ni original au laa kwa Samsung click *#0*# afu ok itakuletea sensor kama ukisogezea mkono inasense itakua ni original na colours pia uangalie
 
Thanks mr Tojo , sijakupata kwenye colour embu fafanua kidogo
Yeah kiujumla Samsung galaxy star plus ni nzuri coz nimeshaiona na kuna rafki yangu anaitumia so kwa simu za Samsung haina shida ila angalia isiwe fake coz mchina katoa copy nyingi, cha kukushauri hakikisha ni original na kuijua kua hii simu ni original au laa kwa Samsung click *#0*# afu ok itakuletea sensor kama ukisogezea mkono inasense itakua ni original na colours pia uangalie
 
Last edited by a moderator:
Nokia X2-Android
Inauzwa 252,000
 
Nokia X2-Android
Inauzwa 252,000

Any nokia x series is not pure android phone.. It lack many android features..., nimetumia nokia x, xl na x2 duu... Niliuza zote nkarudi kwa p6 maana tatu sana..
 
Back
Top Bottom