Msaada.; Smart tv ya bajeti ya 550,000

Msaada.; Smart tv ya bajeti ya 550,000

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
74
Naomba kupata ushauri na msaada kama naweza pata smart tv ya bajeti ya laki 5.5.... Inch 32
 
Chukua Skyworth tv Mkuu Mimi nilichukua smart 40 inch kwa 700,000/- mlimani city lkn siku moja nilipita kkoo nikaiona kama ile ile inauzwa laki 6 na nusu kwa hiyo kwa inc 32 inaweza kuwa chini ya 650 nakushauri uchukue brand hii ni nzuri sana hutajuta
 
Kasema laki 5.5
 
TCL mkuu unaipata kwa around 525K
Sifa ni hizi
Ni smart
Ina kingamuzi ndani
Mkuu tv hzo za tcl napata wapi kwa bei iyo.... Nijuze mkuu.... Nipo Moro hapa... Nataka niende nayo mkoani
 
Maisha tunatofautiana watu tunazungumzia SAMSUNG QOLED na LG QOLED watu mnazungumzia takataka kama Hisense, Boss, Skyworth, n.k
 
Ni kweli Mkuu .kamwe hatufanani na pia penda kununua kitu kutokana na uhitaji wako .Huenda wewe kweli unakipato ila je features zote zilizomo kwenye hizo tv unazitumia kiufasa au mnaishia kuangalia Tbc .
 
Mkuu tv hzo za tcl napata wapi kwa bei iyo.... Nijuze mkuu.... Nipo Moro hapa... Nataka niende nayo mkoani
Moro tu hapo, panda gari nenda Dar kama Moro umezikosa
Nauli ya kwenda na kurudi ni 14,000/=
Piwa wanaweza kukutumia lakini gharama za usafirishaji zinaweza kuwa kubwa mpaka mara mbili ya hiyo nauli ya to and fro
Kuna Jamaa wanajiita jadenhome store wako Maeneo ya Mwananyamala karibu na Collubas hotel au unaweza wacheki instragram kwa jina hilohilo
 
Mbaya zaidi unaizungumzia ya shemeji yako,msukuru sana dada yako mkuu!
Shemeji? We Kima unafikiri kila mtu anaishi maisha uliyoishi wewe shemeji yako anavaa kitaulo halafu anakuaga kwenda kumkaza Dada yako? Mimi siyo level yako dogo
 
Moro tu hapo, panda gari nenda Dar kama Moro umezikosa
Nauli ya kwenda na kurudi ni 14,000/=
Piwa wanaweza kukutumia lakini gharama za usafirishaji zinaweza kuwa kubwa mpaka mara mbili ya hiyo nauli ya to and fro
Kuna Jamaa wanajiita jadenhome store wako Maeneo ya Mwananyamala karibu na Collubas hotel au unaweza wacheki instragram kwa jina hilohilo
Asante sana mkuu kwa maelekezo hayo.... Ngoja niyafanyie kz
 
Back
Top Bottom