Msaada: Siwezi kudownload katika Softonic

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
waungwana hebu nieleweshe niki search program katika www.softonic.com haikubali kudownload alaf inafail lakini site nyengine zinakubali kama kawaida
 
Hyo site huwa ina downloader zake!
So ungesema kama unashndwa hzo downloader au vp?
 
yeah ni kweli huwaga nashindwa kutokana na downloader zake kwa hiyo msaada tafadhal nini nifanye ili ni download kule
 
mkuu usiclick download shuka chini utauona sehemu imeandikwa alternative download tumia hio kwa direct link

angalia picha
 
Afu nachukiaga sana downloader hizo, unawezapandikiza virusi kwenye pc mpaka ukashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…