habari wakuu naomben msaada kwa yeyote atakae weza nisaidia. Ni wiki ya 3 sasa simu yangu haipokei simu zote zinazoingia (ukinipigia utaambiwa simu inatumika) muda wote na cha kushangaza blacklist ipo empty namba zinazoingia naziona kwenye received calls. na mm nkipiga hakuna tatizo lingine. nifanyaje hapa, naomben msaada zaidi hapa jukwaan
Weka option zinasomeka pale kwenye call setting mkuu tukupe msaada!
kaka kama ukipigiwa hakupati mtu hio ni call baring nenda hio 5.2 ieke off
ahsante mkuu options zilizopo ni;-
1. SIM 1
2. SIM 2
3. IP DIALING
4. VIBRATION
Ndan ya either SIM 1/2 kuna submenu
1. Fixed Dialing Number
2. Voicemail Setting
3. Fast Call Setting
4. Reply Message Hangup
5. others
5.1 Call forwarding
5.2 Call barring setting
5.3 Addition Calls
ahsante mkuu hebu nilishughulikieAngalia hiyo yenye red.
Kama default password umeweka imegoma, jaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja mtandao unaotumia kuna namba utaambiwa uzibonyeze, binafsi nimezisahau...