Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 1,119 Reaction score 1,254 Aug 9, 2018 #1 Habari zenu wadau, me natumia simu ya HUAWEI Y330 nikiweka laini upande namba1 haisomi inaandika Enter me lock ila nikiweka laini ya tigo inasoma kama kawaida. Hapo nifanyeje ili iweze kusoma laini zote?
Habari zenu wadau, me natumia simu ya HUAWEI Y330 nikiweka laini upande namba1 haisomi inaandika Enter me lock ila nikiweka laini ya tigo inasoma kama kawaida. Hapo nifanyeje ili iweze kusoma laini zote?
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,595 Aug 9, 2018 #2 Ulinunua sim ya promotion kutoka Tigo. Tafuta wataalam wakusaidie unlock codes. Kama bei haijapanda ni 10,000 TZS. Ingia uzi huu:HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number
Ulinunua sim ya promotion kutoka Tigo. Tafuta wataalam wakusaidie unlock codes. Kama bei haijapanda ni 10,000 TZS. Ingia uzi huu:HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number