Wakuu naombeni msaada simu yangu TECNO W3 inagoma kufanya kazi, kila application inaandika not responding ina_stuck badae inaandika process android stoped .
Nimeishaifanyia hard rest lakini bado tatizo lipo .
Kama uliifanyia hard rest mimi nakuomba uifanyie "backup and restore". Nenda kwenye settings, halafu chagua backup and restore, chagua tena Factory data reset (hii ya mwisho itafuta kila kitu kilichomo kwenye simu yako). Hakikisha umetoa sim card yako. Achana na mambo ya hard rest hayawezi kukusaidia!
Wakuu naombeni msaada simu yangu TECNO W3 inagoma kufanya kazi, kila application inaandika not responding ina_stuck badae inaandika process android stoped .
Nimeishaifanyia hard rest lakini bado tatizo lipo .
Stage iliyofikia simu yako ni kwamba system files zishacorrupt na hyo husababishwa na virus,The only solution iliyoback ni kufanya reinstallation ya firmware yake.Km uko interested naweza kukufanyia hyo kazi mkuu.