msaada simu yangu jamani

msaada simu yangu jamani

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habarini wanajamvi.
Nina simu Motorola android inamatatizo Kama mawili Hivi,
moja nikipokea cm niliyopigiwa, aliyenipigia anasikia inakoroma na kupiga kelele zinazo muumiza mpigaji masikio.
pili Kama akikata na kupiga tena nikishapokea tu inazima yenyewe na kujiwasha yani mpaka inanikera sana.
Wadau nisaidieni nifahamu tatizo ikiwezekana nifahamu na fundi mzuri ambaye atanisaidia
Thanx sana Mimi nipo dar
 
kuhusu muungurumo tatizao itakuwa ni mic ama simu yako iliingia maji unapo pigiwa ikazima inawezekana ikawa ni betri hebu chomeka charger halafu uipigie nipe jibu
 
Back
Top Bottom