MSAADA:simu yangu inaninyima raha

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,650
Reaction score
2,327
Wadau naamini mpo wazima, nahitaji msaada wenu kwa tatizo la simu yangu huawei y300 ambayo nilii-root. Baada yya rooting imekuwa na Tabia ya kuinstall uc mini bila ridhaa yangu na kila nikipitia folders za kwenye simu yangu sioni lenye hyo app. Kwenye setting nimeruhusu blocking installation from unknown source. Nifanye kutibu hili tatizo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…