oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Mar 28, 2014 #1 naomba msaada jamani, natumia simu yenye os ya android, imeniletea hayo maneno na toka yamekuja nashndwa kupga simu, kutuma sms wala kupata internet, nifanye nini jamani?
naomba msaada jamani, natumia simu yenye os ya android, imeniletea hayo maneno na toka yamekuja nashndwa kupga simu, kutuma sms wala kupata internet, nifanye nini jamani?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Mar 28, 2014 #2 ni simu ya mediatek? maana hizo hazina imei jamaa wana tool yao kabisa ya kuchange imei
oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Mar 28, 2014 Thread starter #3 chief-mkwawa said: ni simu ya mediatek? maana hizo hazina imei jamaa wana tool yao kabisa ya kuchange imei Click to expand... nafikiri itakuwa hvyo, maana ni ya kichina, ni ya line mbili
chief-mkwawa said: ni simu ya mediatek? maana hizo hazina imei jamaa wana tool yao kabisa ya kuchange imei Click to expand... nafikiri itakuwa hvyo, maana ni ya kichina, ni ya line mbili
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Mar 28, 2014 #4 oxlade said: nafikiri itakuwa hvyo, maana ni ya kichina, ni ya line mbili Click to expand... google mediatek imei tool zitakuja kibao
oxlade said: nafikiri itakuwa hvyo, maana ni ya kichina, ni ya line mbili Click to expand... google mediatek imei tool zitakuja kibao
oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Mar 28, 2014 Thread starter #5 chief-mkwawa said: google mediatek imei tool zitakuja kibao Click to expand... poa mkuu shukran