Simu inaposema insufficient storage hapo kinachohusika ni ile system partition ambayo kwa simu nyingi huwezi kuiona. Hivyo vitu ulivyofuta vipo kwenye partition tofauti kabisa na partition ya downloads.
Fanya kuUninstall apps kadhaa.
Pia kama simu yako inasuport option ya default storage to SDCARD fanya hivyo
Pia ikishindikana unaweza kuwa unaDownload Apps kwa kutumia browser kawaida then unaInstall manually, pia hii ni njia nzuri.una weza kuDownload kupitia website ya APK4FUN
Pia ikishindikana unaweza kuwa unaDownload Apps kwa kutumia browser kawaida then unaInstall manually, pia hii ni njia nzuri.una weza kuDownload kupitia website ya APK4FUN