sigachuma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 233
- 29
Hii simu aina ya iphone 3G nili reset all settings sasa haitumi txt sms, pia kabla ya kunifanyia kiburi hiki ilikuwa ukituma/ kutumiwa sms kama ulisevu no. Ya cm kwa kutumi no inayoanza na 071.... Basi txt inakuja na no. Inayoanza na +255 71... Means haitambui jina ulilosevu awali. Nitashukuru sana endapo nikisaidiwa hili la kutokutuma txt then hili la kuto detect no za 255 nikisevu kwa 071..