Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
1. Samsung anatengeneza simu nyingi kwa series ya Galaxy, sasa sijui wewe mkuu unatumia Samsung Galaxy ....???
2. Je simu yako hiyo ilinunuliwa nchi gani?
In short kutengenezwa kwa matumizi ya nchi za nje haina maana kuwa haiwezi kutumika Tanzania isipokuwa kuna compliances fulani za IMT-2000 inabidi kufikiwa.
3. Kwa kawaida simu za Samsung Galaxy (Android), hufuata mtiririko huu unapotaka kuswitch kutoka network moja kwenda nyingine (2G, 3G, 4G n.k).
Kwa kuwa unataka kuifix simu yako kwa 3G tu basi fuata huu mlolongo.1. Go to Settings.
2. Select "More Settings".
3. Select "Mobile Network".
4. Select "Network Mode".
5. Choose the "WCDMA only".
Mi nilihangaika sana na line ya airtel nikawapigia wakaniambia kuna kundi fulani la line halishiki 3g mpaka leo kimya, natumia tigo now nimeizoea
Setting ndo zinachanganya wengi unaenda kwenye mobile network then kuna sehemu ya Apn unabonyeza inakuja sehemu inabidi uandke internet kwa herufi ndogo kama ni airtel unafata procedure zote then itakuja three g ndo network inakuwa normal
natumia mtandao wa tigo, yani napata shida kweli. hizo setting nimezifuata mpaka nimeflash simu ila bado.
Unaweza kutuma screen shot yake hapo unapokwamia?asante hii simu ni s3, ilitengenezwa UK., nimefuata hizo taratibu mpaka pale kwenye mobile network, nimetafuta hyi ya WCDMA lkn sijaiona ndugu zaidi ya automatic na manual, msaada wako mpako hapo je?
Wakala aliingiza akachemsha, nakula 3g ya tigo kwa raha zote, huku mikoani 3g hupatikani mara nyingu makao makuu ya mikoa