Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Mkuu si umeambiwa hapo moisture ndo inayosababisha anyway kama una uwezo ifungue then usafishe Kwa kukausha huo mvuke kama huna peleka kwa fundi akusafishie au akuwekee port nyingine itakuwa sawa tu hata yang kuna kipindi iliniletea huo ujumbe sema niliifungua mwenyewe nikaipuliza puliza kwenye system charge ikakaa sawaHabari wakuu.
Kila ninapojaribu kuichaji simu yangu inaniandikia maneno hayo kwenye picha, hajaingia maji, nimejaribu kubadili chaja bado tatizo lipo palepale...msaada wajuvi wa simu.View attachment 1431069
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuMkuu si umeambiwa hapo moisture ndo inayosababisha anyway kama una uwezo ifungue then usafishe Kwa kukausha huo mvuke kama huna peleka kwa fundi akusafishie au akuwekee port nyingine itakuwa sawa tu hata yang kuna kipindi iliniletea huo ujumbe sema niliifungua mwenyewe nikaipuliza puliza kwenye system charge ikakaa sawa
Nadhani nikibidua simu kwenye kuongeaJeukiongea na simu huwa una spitt/nyesha mate?
USIPIGE simu Wala kuiwasha ikiwa ktk Hali iyo.
Asante sana mkuuUSIPIGE simu Wala kuiwasha ikiwa ktk Hali iyo.
Maana ake uwo mvuke itapiga shoti
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante MkuuKama simu ni ya Samsung na ina warranty ,peleka Samsung service centre posta ( Dsm)
Itarekebishwa bure ,
Ni siku tatu hivi...
Mimi ilisoviwa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapojifukizia dawa ya Covid-19 weka simu pembeni mkuu utaiua hiyo.Habari wakuu,
Kila ninapojaribu kuichaji simu yangu inaniandikia maneno hayo kwenye picha, hajaingia maji, nimejaribu kubadili chaja bado tatizo lipo palepale. Msaada wajuvi wa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaUnapojifukizia dawa ya Covid-19 weka simu pembeni mkuu utaiua hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app