21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Habari za muda huu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, simu yangu aina ya samsung J3 ukikonect usb cable inacharge tu bila kukonnect simu.
Mwanzoni ilikua inkonect vizuri tu lakini sasa tatizo sijui ni nini. Nimejaribu kutumia usb cable tofauti na pia kubadili Pc lakini tatizo linabaki pale pale.
Pia nimejaribu simu nyingine kwa kutumia usb cable yangu na pc yangu zimekubali vizuri t.
Naombeni msaada wenu wadau maana nashindwa kuifurahia simu yangu.
Natanguliza shukrani