AL-USTADH JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 406 Reaction score 226 Aug 11, 2016 #21 kisu cha ngariba said: Angalia imei namba yake then utume kwenye hii namba 15090 Click to expand... Nilituma mkuu wakasema ni bandia kweli ila nimeshaifanyia utundu imefunguka na inapiga kazi kama kawaida wakuu. Cc. Kibajajitz
kisu cha ngariba said: Angalia imei namba yake then utume kwenye hii namba 15090 Click to expand... Nilituma mkuu wakasema ni bandia kweli ila nimeshaifanyia utundu imefunguka na inapiga kazi kama kawaida wakuu. Cc. Kibajajitz
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Aug 11, 2016 #22 Uki piga *#06# unaletewa IMEI au unajibiwa INVALID IMEI?
S stevepaul Member Joined May 15, 2017 Posts 99 Reaction score 138 Nov 22, 2023 #23 AL-USTADH said: Nilituma mkuu wakasema ni bandia kweli ila nimeshaifanyia utundu imefunguka na inapiga kazi kama kawaida wakuu. Cc. Kibajajitz Click to expand... Maujanja gani mkuu nishirikishe pm
AL-USTADH said: Nilituma mkuu wakasema ni bandia kweli ila nimeshaifanyia utundu imefunguka na inapiga kazi kama kawaida wakuu. Cc. Kibajajitz Click to expand... Maujanja gani mkuu nishirikishe pm