Ndugu hicho kitufe sijabonyeza . yaan ukiweka lain zile setting zinatokea change za kuset data connection ghafla bar zinatoweka.Angalia unaweza kuwa umebonyeza kitufe kama hiki [emoji574][emoji574]bahati mbaya huwa kinakata network [emoji574]
Mkuu na tatizo la simu kushindwa kuonesha video ,picha pia PDF huwa linasabishwa na nini?Labda hilo ni tatizo la hardware wala sio software.......
Mkuu na tatizo la simu kushindwa kuonesha video ,picha pia PDF huwa linasabishwa na nini?
Piga *#06# alaf lete majibu ,
Nb: weka namba nane tu za mwanzo kwa usalama
http://
Pia toa taarifa za simu kama brand, na model yake
Hiyo itakuwa imepitiwa na tcra
tcra washaipitia hiyo mkuu poleMkuu nna Xperia Z3 hapa network bar inaonesha kuna x nyekundu na net haisomi mkuu ndio inakuaje hapo kiongozi...?.
Mkuu nna Xperia Z3 hapa network bar inaonesha kuna x nyekundu na net haisomi mkuu ndio inakuaje hapo kiongozi...?.
Angalia imei namba yake then utume kwenye hii namba 15090