Msaada simu ya Samsung J6 touch problem

Msaada simu ya Samsung J6 touch problem

ton11

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
110
Reaction score
150
Wakuu naomba msaada,

Niliupdate simu yangu aina ya samsung Galaxy J6 kutoka android 9 kwenda 10 baada ya hapo touch ikagoma mpaka sasa nimejaribu kufanya soft na hard reset zote zimegoma nimeangalia kwenye baadhi ya solution za youtubes lakini nimeshindwa kufanikiwa bado simu inagoma touch

Simu haijaanguka wala tatizo lolote zaidi ya kuaccept update ya kwenda android 10 mwenye ufahamu anisaidie
 
Back
Top Bottom