simu yangu aina ya huawei y540 imejizima ghafla nimeiflash mara mbili inatulia kwa muda wa kama wiki mbili then inazima vp hapo tatizo ni nini?na mpaka sasa nikiichaji haiingizi tena chaji

Mukiambiwa mchina sio munakata kama imefikisha mwaka imeshamaliza muda hiyo,katupe ununue nyingine.kama unataka uitumie ela yako kihalali nunua Samsung au ile chapa tunda