Nimekuwa nikikutana na changamoto ya simu za android hasa kwenye internet! Wakati simu inapokuwa ikitumika kunakuwa na application zinazotokea zikihitaji ziwe installed kwenye simu na zinazuia screen nzima kiasi kwamba kile unachokitafuta au kile ulichokuwa ukikiangalia kwa wakati huo kinazuiwa! Kama zipo njia za kuzuia hizi app tupeane maana hili jambo linawapata watu wengi!
Hizo app mkuu hata sijaziinstall! Some time huwa hizo app zinazozuia screen zinapokuja nikitest kuzifuata huwa napelekwa playstore na kunitaka niistall hizo app za Du battery saver,Du cleaner ambapo siziinstall hii hali inajirudia sana...Umeinstall program za free, kam vile Du battery saver, Du cleaner. . Fanya kutoa programs zote za free ili kumaliza hilo tatizo
Ili kumaliza tatizo root na uweke app ya adfree.Hizo app mkuu hata sijaziinstall! Some time huwa hizo app zinazozuia screen zinapokuja nikitest kuzifuata huwa napelekwa playstore na kunitaka niistall hizo app za Du battery saver,Du cleaner ambapo siziinstall hii hali inajirudia sana...
Hata mimi matangazo kama hayo yanatokea lakini unabonyeza x iliyopo juu tangazo linatokaNimekuwa nikikutana na changamoto ya simu za android hasa kwenye internet!
Wakati simu inapokuwa ikitumika kunakuwa na application zinazotokea zikihitaji ziwe installed kwenye simu na zinazuia screen nzima kiasi kwamba kile unachokitafuta au kile ulichokuwa ukikiangalia kwa wakati huo kinazuiwa! Kama zipo njia za kuzuia hizi app tupeane maana hili jambo linawapata watu wengi!
Unabonyeza x ya hapo juu linatokaHizo app mkuu hata sijaziinstall! Some time huwa hizo app zinazozuia screen zinapokuja nikitest kuzifuata huwa napelekwa playstore na kunitaka niistall hizo app za Du battery saver,Du cleaner ambapo siziinstall hii hali inajirudia sana...
Poleee xanaa ilp tatizo lilnikut kwny kwny cm yang ila now cjaliona tenaa fany iviNimekuwa nikikutana na changamoto ya simu za android hasa kwenye internet!
Wakati simu inapokuwa ikitumika kunakuwa na application zinazotokea zikihitaji ziwe installed kwenye simu na zinazuia screen nzima kiasi kwamba kile unachokitafuta au kile ulichokuwa ukikiangalia kwa wakati huo kinazuiwa! Kama zipo njia za kuzuia hizi app tupeane maana hili jambo linawapata watu wengi!
Okay..nmefanyia kazi baadhi ya maoni naona tatzo km limekata! Tuendelee kupeana ujuzi zaidi....Poleee xanaa ilp tatizo lilnikut kwny kwny cm yang ila now cjaliona tenaa fany ivi
Restore cm erase kila k2 ukishamaliza before kudownld app yoyote anza kupakua antivirus then endelea n maaishaa y kuto sumbuliwa
Dawa ni koroot simu basiii hayo matangazo utayasikia kwa jirani
Try to install adblocker