Msaada simu Samsung J320A

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,958
Tafadhali wadau na watalaam,maomba msaada samsung J320A inafanyakazi, ila ikienda kwenye sleep mode baada ya kutotumika kwa dakika chache screen haionyeshi kitu kabisa labda nitoe betri niweke tena.kuna wakati nili erase kila kitu sababu ilikataa password mpya nilioweka. Kwa hiyo nili erae kila na kuanza ku update program zote. Rangi zimebadilika ila hili kuwa na screen nyeusi linakera sana. Naomba msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…