Ta-kibombo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 648 Reaction score 517 Jan 21, 2018 #1 Wakuu naombeni msaada wenu,simu aina ya tecno s1 ikipigiwa inaita kama sekunde mbili tu inajipokea yenyewe.Yani unaweza kua mbali na simu,simu ikipigwa unakuta imeshajipokea yenyewe IPO hewani.je,ili tatizo nalitatua vipi wakuu?
Wakuu naombeni msaada wenu,simu aina ya tecno s1 ikipigiwa inaita kama sekunde mbili tu inajipokea yenyewe.Yani unaweza kua mbali na simu,simu ikipigwa unakuta imeshajipokea yenyewe IPO hewani.je,ili tatizo nalitatua vipi wakuu?