Kufungua makabrasha yenye fomati ya pdf si uwezo wa simu pekee isipokuwa kuna simu zenye uwezo wa kupokea programu za pdf reader mathalani Adobe Reader na kazi ya programu hizi ni kuweza kufungua makabrasha yenye fomati ya pdf.
Mi natumia simu ya mchina ambayo haina uwezo wa kufungua pdf ila sijawahi kushindwa kufungua pdf kwa kuwa huwa nafanya attachment ktk gmail kisha nasave, hapo pdf inasomeka bila taabu yoyote kama uta preview attachment. Tena unaweza soma format zote ikiwemo word na excel.