mkuu kuna application inatumia hio network na hio app umeieka mwenyewe inaweza kua whatsapp, app ya email au client yoyote. nenda app manager kaitoe au unga bundle kila siku ili isile salio. kama sio mtumiaji sana wa internet bundle ya 2000 kwa mwezi inatosha

Habari zenu wakuu,naombeni maujanja yakutoa hii kitu packet data connection internet nimejaribu nimeshindwa,simu yangu nokia e5
Njia hizo zote ulizopewa zikishindikana jaribu
kuinstall Netqin mobile guard, kuna option ya ku stop program zinazo ji autostart na kuconect
internet kama whatsup na email clients!!
Menu-setting-wireless network-mobile network weka off
Bila hivyo utakula hasara kila siku