MSAADA. SIMU INAANDIKA MEMORY FULL LAKINI INTERNAL STORAGE NI GB62 AVAILABLE SPACE

MSAADA. SIMU INAANDIKA MEMORY FULL LAKINI INTERNAL STORAGE NI GB62 AVAILABLE SPACE

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
378
Reaction score
450
Wakuu husika na kichwa Cha habari. Je nifanyeje? Shida ni nini?
Aina ya simu ni SAMSUNG GALAXY A6+
 
Nenda settings ==>storage, alaf weka ile summary kama hiyo hapo chini.

Au jaribu kufanya full system restore

Screenshot_20190603-093935.jpeg
 
Hizi simu za kisikuhizi ziko very fake
 
Kumbe hata huko mnakokusifiaga napo kuna maluweluwe....Nakupenda Simu yangu tecno
 
Nenda My Files, alafu ingia internal storage, then mark all kama nilivyoonesha kwenye picha, then Delete all,
Alafa lete mrejesho hapa
Screenshot_20190603-105015_My%20Files.jpeg
Screenshot_20190603-105037_My%20Files.jpeg
 
Mchina sio mtu wa kumuamini sana, usione kitu kimeandikwa SAMSUNG ukadhani ni kweli. Unatoa hela yako kumbe unauziwa "simu ya wanyonge".
 
Back
Top Bottom