P princess J Member Joined Aug 20, 2013 Posts 94 Reaction score 15 Apr 16, 2015 #1 Salamu wakuu, Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls.
Salamu wakuu, Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,084 Apr 16, 2015 #2 princess J said: Salamu wakuu, Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls. Click to expand... Battery na short, yani ukiangalia ni kama ni kama vile umeweka kwenye chaji lakini kiuhalisia haichaji bali inakula chaji, tafuta fundi haraka itakuja kukulipukia
princess J said: Salamu wakuu, Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls. Click to expand... Battery na short, yani ukiangalia ni kama ni kama vile umeweka kwenye chaji lakini kiuhalisia haichaji bali inakula chaji, tafuta fundi haraka itakuja kukulipukia
P princess J Member Joined Aug 20, 2013 Posts 94 Reaction score 15 Apr 16, 2015 Thread starter #3 Asante mkuu