memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 259
- 167
ahsante sana mkuu ngoja niipeleke wakajaribu kuiflashHilo litakuwa ni tatizo la software. Kama inatumia android OS jaribu kufanya hard reset mkuu.
ahsante chief ila sasa wataflash vipi wakati mimi mwenyewe sijaiweka kwenye db mode kwa hiyo hata nikiconnect na desktop haionekaniinavyoonekana wametumia memory za kichina china desktop ikaona kama ni ka memory card tu ndio maana ukaambiwa ui format.
hapo simu yako haina software sasa hivi ndio maana haiwaki unatakiwa ueke rom upya (uiflash) kama hujui kuflash mwenyewe peleka kwa fundi akaiflash
kuna situation computer za kawaida zinashindwa ila box za kuflashia simu zinawezaahsante chief ila sasa wataflash vipi wakati mimi mwenyewe sijaiweka kwenye db mode kwa hiyo hata nikiconnect na desktop haionekani
Unahitaji ku-download adb drivers na kuinstall kwenye computer yako manually. Hapo uki-connect simu yako kwa computer itakuwa detected, hatimaye ui-flash(hapa unahitaji firmware ya simu yako). Nawasilisha...ahsante chief ila sasa wataflash vipi wakati mimi mwenyewe sijaiweka kwenye db mode kwa hiyo hata nikiconnect na desktop haionekani
thanks kwa chief pia simu imewaka hatariiiiiiiUnahitaji ku-download adb drivers na kuinstall kwenye computer yako manually. Hapo uki-connect simu yako kwa computer itakuwa detected, hatimaye ui-flash(hapa unahitaji firmware ya simu yako). Nawasilisha...
Hatarii??? Y Nn While Simu Imewaka?!!!thanks kaka ,
thanks kwa chief pia simu imewaka hatariiiiiii
Umetumia njia gani mkuu, tuambie ili na wengine wapate uelewa. Hongera pia kwa kufanikiwa...thanks kaka ,
thanks kwa chief pia simu imewaka hatariiiiiii