ngasha
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 145
- 74
Jamanii we naamini JF apa wamejaa wataalam wa mambo mbali mbali yakiwemo Hays ya sim
Nikwamba sim yangu imekua ikinisumbua kuna baadhi ya apps has a za porno (
) zimekuwa ziki ji-instal kila ninapo washa data na inakuwa inaganda ganda adi inakera pia matangazo ya app mbali mbali yanatokeza kwenye screen nikiwasha data
Msaada kwa anaejua sulihisho la tatizo hill tafadhari
Nikwamba sim yangu imekua ikinisumbua kuna baadhi ya apps has a za porno (
) zimekuwa ziki ji-instal kila ninapo washa data na inakuwa inaganda ganda adi inakera pia matangazo ya app mbali mbali yanatokeza kwenye screen nikiwasha data Msaada kwa anaejua sulihisho la tatizo hill tafadhari