Wadau ninaomba msaada kuna hii app ambayo inakuja na simu inayotoa menu ya mtandao unaotuma(sim toolkit)mfano kama laini ni ya tigo zinakuja Huduma za tigo bahati mbaya kwenye simu yangu imefutika baada ya kuroot sasa ninaweza kuirudisha kwa njia gani!
nenda kwa settings, apps,all apps,
tafuta hio simtoolkit
clear data/ force stop it
zima simu kisha iwashe bila simcard
iwache itulie kama 2min bila simcard kisha zima tena weka simcard
and ur good to go