H HR CONSULTANT Member Jun 7, 2010 76 8 Jul 28, 2019 #1 Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza. Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake. Natanguliza shukurani!
Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza. Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake. Natanguliza shukurani!
F Fideline JF-Expert Member Mar 4, 2011 234 124 Jul 28, 2019 #2 mkuu ukipata taarifa nicheki na mimi.
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Aug 16, 2016 2,018 3,520 Jul 28, 2019 #4 Na ruvu pia kunakuaga na mnada,kwa vigwaza alhamis,ukiitaji msaada wa kuingia chimbo uko,nicheki pm
Easyway JF-Expert Member Oct 5, 2012 2,606 3,705 Jul 28, 2019 #5 Mnada alhamisi,Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mbuzi. Karibu wenyeji tupo.
H HR CONSULTANT Member Jun 7, 2010 76 8 Jul 28, 2019 Thread starter #6 zwenge ndaba said: Na ruvu pia kunakuaga na mnada,kwa vigwaza alhamis,ukiitaji msaada wa kuingia chimbo uko,nicheki pm Click to expand... ahsante sana mkuu kwa msaada na nitakucheck PM
zwenge ndaba said: Na ruvu pia kunakuaga na mnada,kwa vigwaza alhamis,ukiitaji msaada wa kuingia chimbo uko,nicheki pm Click to expand... ahsante sana mkuu kwa msaada na nitakucheck PM
Msela Baharia JF-Expert Member Jun 12, 2016 688 895 Aug 20, 2019 #7 Bei ya chini kwa mbuzi inaanzia ngapi na ya juu kabisa ni ngapi? Easyway said: Mnada alhamisi,Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mbuzi. Karibu wenyeji tupo. Click to expand...
Bei ya chini kwa mbuzi inaanzia ngapi na ya juu kabisa ni ngapi? Easyway said: Mnada alhamisi,Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mbuzi. Karibu wenyeji tupo. Click to expand...
Vesper-valens JF-Expert Member Mar 6, 2020 5,333 7,474 Jul 26, 2022 #8 Mbuzi wanauziwa vigwaza sehem gan
erique JF-Expert Member Apr 23, 2010 583 571 Jul 26, 2022 #9 Dagger-v said: Mbuzi wanauziwa vigwaza sehem gan Click to expand... Kwala, unaenda ile barabara mpya inayojengwa kuelekea bandari kavu
Dagger-v said: Mbuzi wanauziwa vigwaza sehem gan Click to expand... Kwala, unaenda ile barabara mpya inayojengwa kuelekea bandari kavu
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Aug 16, 2016 2,018 3,520 Jul 28, 2022 #10 erique said: Kwala, unaenda ile barabara mpya inayojengwa kuelekea bandari kavu Click to expand... Vigwaza kambini,kama unaenda buyuni
erique said: Kwala, unaenda ile barabara mpya inayojengwa kuelekea bandari kavu Click to expand... Vigwaza kambini,kama unaenda buyuni
balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 14,527 12,662 Jul 31, 2022 #11 zwenge ndaba said: Vigwaza kambini,kama unaenda buyuni Click to expand... Vipi bei? Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
zwenge ndaba said: Vigwaza kambini,kama unaenda buyuni Click to expand... Vipi bei? Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app