I only had to concur... Sikuiona.Dunia sayari ( ardhi )
Ulimwengu. ( watu waishio kwenye ardhi au eneo la ardhi)
Dunia=ardhi
Ulimwengu=ardhi +watu
Dunia ni umbo la kijiografia.
Ulimwengu ni watu na viumbe hai ndani ya dunia..
Aisee. .... Watakujibu wengine...Ni ndani au juu ya dunia?
Mkuu ni ktk uso wa duniaAisee. .... Watakujibu wengine...
Watu na viumbe wapo ndani au nje ya dunia???? Unaelewa ulichoandika??Dunia ni umbo la kijiografia.
Ulimwengu ni watu na viumbe hai ndani ya dunia..