Wakunyumba nin? Maposen ni Art tuuUlizia Peramiho girls,maposeni lakini ni za ma sister.
Ndio wakunyumba. Oooh. Kumbe ni arts tupu. Basi hata songea girls wanazo comb za kibabe kama sikoseiWakunyumba nin? Maposen ni Art tuu
Hizo ni za nyanda za juu kusini. Sana sana ulizia peramiho girlsHakuna shida dada, nashukuru
Za kusini mwa tz hakuna unazozifahamu?
Mtwara technical schoolShukran, maeneo ya kusini mwa tz hakuna?