Msaada: Shule za msingi zenye bweni, ada nafuu Mbeya

Joined
Feb 10, 2022
Posts
5
Reaction score
1
Msaada: Shule za msingi zenye bweni, ada nafuu MbeyaJmni naombeni mnisaidie kujua shule za msingi zinazopatikana
mkoa wa MBEYA zenye BOARDING, na zenye ADA nafuu kama utakuwa wazijua[emoji1545]
 
Msaada: Shule za msingi zenye bweni, ada nafuu MbeyaJmni naombeni mnisaidie kujua shule za msingi zinazopatikana
mkoa wa MBEYA zenye BOARDING, na zenye ADA nafuu kamautakuwa wazijua[emoji1545]
Isaiah Samarithan International school.

Nimesomesha watoto watatu pale bila kupata kifafa cha ada.

Ada kwa mwaka mpaka mwaka jana ilikuwa 1,460,000. Malipo ni mara nne.
 
Mi naomba mnitajie za olevel zinazofanya vizuri na zenye ada nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…