**Msaada shule ya sekondari KIBAHA BOYS**

It was a gud school.idnt know right now.but i hope it is still a good school. Pangani was my dormitory while am in a-level.neverthless i encourage you to be serious in your studies and avoid being proud.deliberetly speaking,it is a comforting place for study.
 
Dogo Kibaha haimtupi mja wake.

Tulikuwepo pale hadi 2009 A level,nenda ukasome then ukimaliza uje chuo tusome ,sawa!

dah haha nimejarib kureview sam national past result nd nimekubaliana na kauli yako kwamba haimtup mja wake!, tuombe uzima kaka tutakutana huko chuo!
 
Mshukuru MUNGU kwa kuchaguliwa katika shule nzuri kama ile! Pale ukifeli ni bahati mbaya au ulipenda. Mazingira ni mazuri mno!
Ukifika kamsalimie Kashinde na ukae bweni la Skandia kwani ni karibu na facilities zote!
Hongera mdogo wangu

shukran sana kaka dah hilo bwen la skandia itabid nifight niweke kambi hapo!Nakushukuru sana kwa kunip muongozo,nd abut kashinde ntamfikishia salam zako mjomba!;-)
 
Wakati wa enzi zetu hapo, kulikuwa na paper kila jumatatu alafu matokeo yanawekwa hadharani kwenye ubao uliondani ya kioo kilichofunikwa na nyavu za chuma. Mtu wa kwanza alikuwa anaanza na 35, watu walikuwa wanataga kila kukicha lakini mwisho wa yote darasa zima tulipata Division One. Nakushauri KB ni pazuri kimazingira, kimasomo, kijamii, kimichezo, wakati wetu tulikuwa tunakula kuku na mayai yake mpaka. Ni shule ambayo inakufanya uwe mwenye kujiamini na kujitegemea, kama ni mwanafunzi uliyezoea spoon feeds usiende.

heeheh mkuu kwa uliyoyasema hapo juu dhahiri shair kwamba si pa kufanya mchezo,na ntajitahid kwa uwezo wangu wote mungu alionipa nifight against negatives zinazoweza kuharm my academic life there!ONE LAV BROTHER
 
sasa wew dhihaki ya nini jiheshim bas!,nimekuomba ushaur hayo mengine ya sijui mpumbavu yametoka wapi,mbona ukuaji wako hautumii vilivyo?,ningekuona mstaarab sana kama usingechangia chochote na kupita ukaenda zako!MARA NYINGINE JARIB KUTUMIA HATA AKILI YA KUZALIWA KAMA YA DARASAN HAIKUSAIDII!hadhi y kusema kama umesoma kibaha huitendei haki kabisa!huna SONI YA USTAARAB!then hizo mambo za sijui shule ya private sijui umezitoa wapi,hivi umeisoma status niliyo update hapo juu??UFAHAM ni kitu tunacho fundishwa kabla hatujaanza kusoma lugha yoyote ili kupima uelewa(uchanganuo) wetu wa kitu tunachosoma,ningekushauri urudi hapo juu,then ndo uanze kuflow shits zako!!Angalizo tu!

Kuniandikia maandishi meengi wala hakusaidii kupumbua upumbavu wako.
Ulishadeclare interest kwamba umeandika barua ya excuse ya kutokwenda hiyo shule, sasa ningekuwa mpumbavu zaidi yako kukubali kukuelezea mazingira ya KSS wakati tayari ushasema kwamba huendi. Nakutakia nini mpaka nikushawishi uende?
 
Maktaba ya mkoa ipo hapo chuo kikuu huria kipo hapo shule ya sekondari tumbi ipo hapo chuo cha uganga kipo hapo fdc kipo hapo hospital ya tumbi ipo hapo shule ya secondari kibaha wasichana ipo hapo shule ya msingi tumbi ipo hapo shamba la ngombe na kuku. Sema unataka nini sasa

hahahahah BROTHER nimependa the way ulivyo analyse mambo hapo juu,hapo kwel kila kitu kimetimia ni mim tu nimbwele mwenyewe!
 
It was a gud school.idnt know right now.but i hope it is still a good school. Pangani was my dormitory while am in a-level.neverthless i encourage you to be serious in your studies and avoid being proud.deliberetly speaking,it is a comforting place for study.

among things which am not interested with is PROUDNESS,much thanks to allah bcoz the situation has helped me in different life aspects til this dot!thanks for your advice and awil effectively make a follow up on it!...THANKS FOR YOUR CONCERN BROTHER!
 
shukran sana kaka dah hilo bwen la skandia itabid nifight niweke kambi hapo!Nakushukuru sana kwa kunip muongozo,nd abut kashinde ntamfikishia salam zako mjomba!;-)
kashide, uyu jamaa noma alituendesha xana. ts gud ukikaa naye mbal especially kama we n mpenz wa soka, ukitimba 2 vbandan kesho anakuchomoa parade bt xjui kama utamkuta yupo udsm nw anapga kitabu ....my advice j2pie bwen la nyanza, skandia ilikuwa enz za kikwete nw limebak historia....karbu kwenye community ya kss
 
Back
Top Bottom