Msaada: Shule ya Kidato cha Tano yenye ada nafuu

Fredrick1234

New Member
Jun 10, 2021
1
1
Hello wadau,

Nilikuwa naomba ushauri ni shule ipi ya Kidato cha Tano yenye gharama nafuu kuanzia laki 8. Combination ni CBG. Niko Arusha.
 
Back
Top Bottom