Msaada shule ya kidato cha tano na sita! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada shule ya kidato cha tano na sita!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mzee wandimu, Feb 18, 2012.

 1. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Heshima mbele wanabodi!
  naomba kwayetote anaeweza kunisaidia/kunijulisha kupata shule ya kidato chatano kwa ajili ya mchepuo wa sayansi ninadogo anataka shule ya private! ana three ya 23, anataka PCM au PCB!
  PCM ana C ,B,D na PCB ana C,B,C.
  NOTE shule iwe ARUSHA au KILIMANJARO!
  nawasilisha!
   
 2. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Atapata post kwenye shule ya serikali,au hataki gvt schools?
   
 3. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  engutoto high xkul
   
 4. L

  Leo Tyger Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majengo sec
   
Loading...