Habari wadau,
naombeni msaada kwa anayejua shule nzuri ya watoto (English medium) kwa maeneo ya Tabata na kinyerezi au jirani na maeneo haya!!
nataka nimpeleke mtoto Wangu ana miaka 4 na nusu sasa!
nitashukuru saana kusaidiwa sababu sijui shule nzuri na yenye elimu bora kwa ukanda huu au jirani na maeneo niliyotaja............