Habarini wanajamvi
Nina shida, namtafutia mdogo wangu shule ya sekondari ya private nzuri nimuhamishie. Mdogo wangu alikuwa seminary ameshindwa kufikia wastani wa 50 na amepata 45 so wamekataa aendelee. Please nisaidieni, anatakiwa aendelee form 3.
Shule isiwe hapa Dar, iwe Moro, Iringa au Mbeya. Nikijua na ada zao nitafurahi sana.
mpeleke la Miriam, Ada elekezi ni 380000
Morogoro kuna shule nzuri sana inaitwa Buyongolola. Ada ni Tshs 40,000/=. Mwaka jana kwa kidato cha nne wanafunzi 18 walipata Distinction, wanafunzi 12 walipata Merit na mwanafunzi mmoja tu ndo alipata credit hakukuwa na pass wala zero. Chakula ni kizuri sana, kila siku wanakula mchicha na soda bila kusahau uji wa mawese na zambarau zilizosagwa.
Mkuu nahisi umekosea kwenye ada hapo. Shule iko maeneo gani
Ni kweli mkuu tena saizi wapunguza hadi kufikia Tshs 880 /= ( Mia nane themanini,)