but thats an islamic school mkuuKirinjiko islamic seminary. Ipo Same Kilimanjaro. For me it is the best school.
Pumba tupuKirinjiko islamic seminary. Ipo Same Kilimanjaro. For me it is the best school.
Hizo brodher, kama huudhurii jumuia sahau, kama hujafunga ndoa ya kikatoloki sahau, kama kwenye ukoo wenu kuna mtu aliwahi kugengeuka kwa kubadilisha dini sahau, kama mwanao alikuwa hatumikii kanisani na kujiunga na vyama vya utume kuanzia utoto mytakatifu hadi wito sahau. Kama vigezo unatimiza anzia maombi jumuia ya mtaani kwako then parokiani na mwisho utume shuleniUna contact zao kiongozi?
Kuna vitu umeongezea sana waswahili wanasema "umetia chumvi nyingi mnoo"Hizo brodher, kama huudhurii jumuia sahau, kama hujafunga ndoa ya kikatoloki sahau, kama kwenye ukoo wenu kuna mtu aliwahi kugengeuka kwa kubadilisha dini sahau, kama mwanao alikuwa hatumikii kanisani na kujiunga na vyama vya utume kuanzia utoto mytakatifu hadi wito sahau. Kama vigezo unatimiza anzia maombi jumuia ya mtaani kwako then parokiani na mwisho utume shuleni
Brother, sisi ni wahenga, hiyo ndio misingi ya kanisa na sisi ndio ma conservative wenyewe, kama kuna waliobadilisha ni makosa, kuna mengine mengi sijasema kama kwenye ukoo kuna asili ya maginjwa ya kurithi na yenyewe unapigwa panga, ma intelijensia walikuwa wanattumwa kuchunguza mpaka maisha ya familia yenu ndio ukubaliwe. Kwa sasa wanazingatia zaidi vigezo vya kufauli mtihani na ndio maana kanisa limefika hapa lilipoKuna vitu umeongezea sana waswahili wanasema "umetia chumvi nyingi mnoo"
Kuhusu ndoa ni kweli,kuhudhuria jumuiya na kanisani ni kweli ndiyo vingine si lazima.
Nna mtu wa karibu sana amemaliza maua seminary 2014 so nafahamu sana tu mkuu.Brother, sisi ni wahenga, hiyo ndio misingi ya kanisa na sisi ndio ma conservative wenyewe, kama kuna waliobadilisha ni makosa, kuna mengine mengi sijasema kama kwenye ukoo kuna asili ya maginjwa ya kurithi na yenyewe unapigwa panga, ma intelijensia walikuwa wanattumwa kuchunguza mpaka maisha ya familia yenu ndio ukubaliwe. Kwa sasa wanazingatia zaidi vigezo vya kufauli mtihani na ndio maana kanisa limefika hapa lilipo
Ndio maana nakuambia sio misingi hiyo, wewe umeuliza sisi tupo jikoniNna mtu wa karibu sana amemaliza maua seminary 2014 so nafahamu sana tu mkuu.
Basi sawa.Ndio maana nakuambia sio misingi hiyo, wewe umeuliza sisi tupo jikoni
sawa MBUSHUU DOMINIC MNYAONJEBasi sawa.