advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Hv hzo shule wanachukuaga hata four zilizo balance comb??Habarini Wakuu, Wakati Ndugu Zetu(Dada, Kaka,majamaa,wadogo Zetu) Wamepokea Matokeo Ya Kidato Cha Nne, Ni Dhahiri Shairi Kwamba Sio Wote Watakao Pata Nafasi Kwa Shule Za Serikali Wapo Watakao Kosa, Nimeanzisha Uzi Huu Kujulishana Shule Binafsi Zenye Kujali Kipato Cha MTanzania,chini Ya Milion Moja Siyo Mbaya Pia Ukiicha Na Mawasiliano Ili Unufaishe Wengine. Ahsanten
Mkuu, Kigezo Cha Kusoma Advance Private Ni C Tatu, KaribuHv hzo shule wanachukuaga hata four zilizo balance comb??
Anhaaa make kuna jamaa Ame balance HKL ana C zotee na masomo mengne D na math FMkuu, Kigezo Cha Kusoma Advance Private Ni C Tatu, Karibu
Kwahyo kama mtu ana C za Hist,Geo,Kiswa anaweza soma PCM au PCB au lazm hizo C tatu ziwe za comb yake?Mkuu, Kigezo Cha Kusoma Advance Private Ni C Tatu, Karibu
Mkuu mbn unachanganya madesaKwahyo kama mtu ana C za Hist,Geo,Kiswa anaweza soma PCM au PCB au lazm hizo C tatu ziwe za comb yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza tu maana kasema kigezo cha kusoma advance ni C tatu hajazungumzia upande wa combination za masomo unakuajeMkuu mbn unachanganya madesa
Comb hapo lazimaaNimeuliza tu maana kasema kigezo cha kusoma advance ni C tatu hajazungumzia upande wa combination za masomo unakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kila Shule Ina Vijisheria Vyake Mfano Shule Zingine Zinataka C Tatu Tu Hata Kama The Rest Subjects Una Fs, Shule Zingine Inatakiwa Hizo C Tatu Ziwe Product Ya CombinationKwahyo kama mtu ana C za Hist,Geo,Kiswa anaweza soma PCM au PCB au lazm hizo C tatu ziwe za comb yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Sidhani Kama Atakosa Shule Huyo Kwa Serikali Kama Alirudia Kuanzia Form Two, Kama Ni QT Au Resister Sidhan Kama Atapata NafasiHv wakuu,, kama mtu alirudia masomo saba kwa shule binafsi na akafaulu kwa ufaulu wa Two ya 19 ,ni anaweza akachaguliwa kuingia katika shule za serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasoma HuyoAnhaaa make kuna jamaa Ame balance HKL ana C zotee na masomo mengne D na math F
Mkuu Thanks For Your Commitment, Ada Ni Kiasi Gani, Kwa Day Na Hostel, Kwa Shule Hizo?shule za jeshi mfano jitegemee,makongo kizuka airwing kwa masom ya art wako vzur na ada zao ziko chini sana pia hata 3000 wao wanapokea yaani unalipa kidogokidogo nmesoma huko lakin kwa sayansi nsidanganye fanya utafiti
Mkuu Ada Za Airwing,makongo, Ni Kiasi Gani?shule za jeshi mfano jitegemee,makongo kizuka airwing kwa masom ya art wako vzur na ada zao ziko chini sana pia hata 3000 wao wanapokea yaani unalipa kidogokidogo nmesoma huko lakin kwa sayansi nsidanganye fanya utafiti