Wakuu kwa anayejua zilipo ofisi za hilo shirika. Nasikia mbezi beach ila sasa ni sehemu gani? Nimejaribu google map sijaona chochote msaada tafadhali
Hebu nielekeze bas