Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

mimi nawapenda sana nyie mnaochelewa kukojoaa!

Vijana wengi siku hizi dhaifu sana, ukimpa tu dakika moja kashaachia kojo lotee, wanaboa sana.

Mavijana dhaifu sana kama KUKU.
BRAZA CHOGO🄲
 
Pima Tezi dume kk huenda ndio changamoto
Tezi dume (prostate enlargement), dalili zinaaza umri wa 40s, huyu atakuwa na urethral stricture (kubanwa kwa njia ya mkojo), ugonjwa unatibika kwa upasuaji, arudi kwa urologist kuangaliwa kwa kina
 
Tezi dume (prostate enlargement), dalili ezinaaza umri wa 40s, huyu atakuwa na urethral stricture (kubanwa kwa njia ya mkojo), ugonjwa unatibika kwa upasuaji, arudi kwa urologist kuangaliwa kwa kina
hata chini ya huo umri watu wanapata hata miaka 20s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…