Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Oct 15, 2013 #1 Kwa wenye uzoefu na sheria ya mapato/kodi, je mliki wa , tuseme pikipiki, gari etc anatakiwa kulipa kodi ngapi? Pili je ni haki kulipishwa kodi mala mbili kwa kitu kile kile???? Na kama sio haki, je naweza kuishitaki serikali kwa kuniibia???
Kwa wenye uzoefu na sheria ya mapato/kodi, je mliki wa , tuseme pikipiki, gari etc anatakiwa kulipa kodi ngapi? Pili je ni haki kulipishwa kodi mala mbili kwa kitu kile kile???? Na kama sio haki, je naweza kuishitaki serikali kwa kuniibia???