Naftari Erasto
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 108
- 50
Swali mkuu, hv ukishamaliza kujaza degree program c una log out au kuna sehem ya kuivalidate, naona watu wananichanganya kwenye group la tsupNaaam hapo sawa
Wanakuzingua tu , baada ya kujaza degree program katka vyuo ulivyovichagua unakua umeshamalza application. Na unaweza kuprint kama reference ila sio lazma.Swali mkuu, hv ukishamaliza kujaza degree program c una log out au kuna sehem ya kuivalidate, naona watu wananichanganya kwenye group la tsup
Thenx mwana, wanachozingua nacho ni hapo palipoandikwa ku validate registrationWanakuzingua tu , baada ya kujaza degree program katka vyuo ulivyovichagua unakua umeshamalza application. Na unaweza kuprint kama reference ila sio lazma.
ww ukishamalza logout subir selection tu.
Yapmkuu kwa tulioomba undergraduate amah..
so unamaanisha kuna watu washakuwa selected tayari wanasubiri kuwa confirmed tu?
Hamna kitu kama icho ww pitia kwenye website ya tcu wamekanusha kuhusu jambo hilo.so unamaanisha kuna watu washakuwa selected tayari wanasubiri kuwa confirmed tu?
Wewe nani kasema iyo kitu?? Ni hivi ukisha chaguliwa utapigiwa simu kuulizwa kama utareport ama hutoenda... Uwezi report chuoni bila kuthibitishwaInamaana ukishafanya admission na vyeti vyako halisi ndio umepata chuo. So nenda kariport ndo utajulikana kuwa selected na chuo husika.
Sio vyuo vyote vinautaratibu huo...Wewe nani kasema iyo kitu?? Ni hivi ukisha chaguliwa utapigiwa simu kuulizwa kama utareport ama hutoenda... Uwezi report chuoni bila kuthibitishwa
Wewe nani kasema iyo kitu?? Ni hivi ukisha chaguliwa utapigiwa simu kuulizwa kama utareport ama hutoenda... Uwezi report chuoni bila kuthibitishwa
si huwa wanatuma na email pia? maana namba yangu niliyosubmit tcu ishapoteaWewe nani kasema iyo kitu?? Ni hivi ukisha chaguliwa utapigiwa simu kuulizwa kama utareport ama hutoenda... Uwezi report chuoni bila kuthibitishwa
Wakuu samahani nahitaji ushauri wenu katika hizi kozi nina gpa ya 3.9 diploma ya account toka TIA, nime apply hivi udsm bcom-accounting,udsm bcom-finance,tia-accounting,ardhi-science in accounting & finance. Kwa udsm wanatak o'level uwe na c ya b-maths sasa mimi sikupata C wakuu ila nina B+ ya bussiness maths and statistics ya diploma! je hapo mtazamo wenu naweza pata chuo wapi wakuu?. AhsantehSio vyuo vyote vinautaratibu huo...
Mara nyingi vyuo vya PRIVATE hufanya utaratibu huo..!!!
Kawaida TCU hupeleka orodha ya wanafunzi wanaopendekeza wadahiliwe na vyuo kwa vyuo husika, kila chuo hupitia orodha hiyo na kuangalia sifa za kila mmoja na kufanya uamuzi wa kukubali jina hilo au la. Chuo hurudisha orodha hiyo TCU. Vyuo vingi baada ya kupitia orodha hiyo hutangaza majina ya wale watakaowachukua. Hivyo waliochukuliwa mara nyingi hujifahamu kupitia admission list za chuo hata kable ya TCU (labda kama watabadilisha mwaka huu). Wale wanaokosa majina yao hutangazwa na vyuo vyenye nafasi hutangazwa na mchakato kuendelea mpaka nafasi zitakapojaa au waombaji watakapokuwa wamepata nafasi.Wanajamii naona kuna kitu kinanitatiza sikielewi elewi.
Ukishachaguliwa kwenye selection za chuo kuna mchujo tena unafanyika chuoni wa ukubali kwamba huyu aje a some huyu asije? Maana naona kwennye profile yangu wananambia nisubiri uthibitisho wa chuo husika wnaniandikia maneno haya
Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo juu. Uchaguzi huu unategemea uthibitisho kutoka Chuoni
Naombeni msaada please
Naomba unisaidie mkuu kuna doga kachagua vyuo vinne yaani UDSM,DUCE,UDOM NA MKWAWA bachelor of arts with education alipata division two ya 12 DCE sasa je mkuu katika hivyo vyuo vinne dogo atapenya kweli?Kawaida TCU hupeleka orodha ya wanafunzi wanaopendekeza wadahiliwe na vyuo kwa vyuo husika, kila chuo hupitia orodha hiyo na kuangalia sifa za kila mmoja na kufanya uamuzi wa kukubali jina hilo au la. Chuo hurudisha orodha hiyo TCU. Vyuo vingi baada ya kupitia orodha hiyo hutangaza majina ya wale watakaowachukua. Hivyo waliochukuliwa mara nyingi hujifahamu kupitia admission list za chuo hata kable ya TCU (labda kama watabadilisha mwaka huu). Wale wanaokosa majina yao hutangazwa na vyuo vyenye nafasi hutangazwa na mchakato kuendelea mpaka nafasi zitakapojaa au waombaji watakapokuwa wamepata nafasi.
Ni vigumu kutabiri mwaka huu kwani sijui ushindani ukoje ukichukulia kile walichofanya NECTA kubadilisha vigezo vya ufaulu na TCU kubadilisha vigezo vya kwenda chuo. Hivyo division 2 ya 12 (kama point 6.5) ZINAWEZA zikatosha au la. UDSM, DUCE na MUCE huwa zina competition kubwa sana na UDOM sijui. Hivyo tusubiri na kufuatilia kwa ukaribu matokeo na kuchukua hatua zinazostahili hata kama ni kuomba vyuo vingine ikibidi.Naomba unisaidie mkuu kuna doga kachagua vyuo vinne yaani UDSM,DUCE,UDOM NA MKWAWA bachelor of arts with education alipata division two ya 12 DCE sasa je mkuu katika hivyo vyuo vinne dogo atapenya kweli?
Sawa sawa mkuu shukraniNi vigumu kutabiri mwaka huu kwani sijui ushindani ukoje ukichukulia kile walichofanya NECTA kubadilisha vigezo vya ufaulu na TCU kubadilisha vigezo vya kwenda chuo. Hivyo division 2 ya 12 (kama point 6.5) ZINAWEZA zikatosha au la. UDSM, DUCE na MUCE huwa zina competition kubwa sana na UDOM sijui. Hivyo tusubiri na kufuatilia kwa ukaribu matokeo na kuchukua hatua zinazostahili hata kama ni kuomba vyuo vingine ikibidi.