Msaada sehemu nzuri ya malazi Moshi Mjini

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,016
Habari wanajamvi,nimepata ziara ya kikazi kwenda Moshi mjini.
Naomba kufahamishwa sehemu nzuri kwa ajili ya malazi(budget tsh 25-50),pia sehemu nzuri kwa kujirusha (night life),pia sehemu nzuri kwa vyakula.
Ahsanteni.
 
Nenda maeneo ya dar Street kuna Guest house na lodge nzuri tu zinazoendana na bei yako,sehemu nzuri za kujirusha nenda Black diamond,pub alberto,meku bistro na nasikia kuna chimbo jipya zuri limeanzishwa njia kama unaenda arusha baada ya kuvuka ile roundabout.
 
Qwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
 
Mkuu hilo chimbo jipya linaitwaje?
 
Qwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
Shukrani mkuu.
 
Mkuu unatokea kijijini au,,,!!!!!

Manake huo mji wa Moshi barabara kuu ni moja tu,,
Je ungepata ziara ya kwenda Dar au Mwanza,,,!!!
Naimani ungejitoa hadi kwenye magazeti kutafuta msaada
Dar ndiko makazi yangu.
 
Qwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
Umesahau kumuagizia wanakokaa pia wale dada zetu wanaouza "poa" yao

Kama itampendeza
 
Qwine hotel utapata malazi na nyama choma ya kuku, mbuzi, ngombe, samaki. Pia wkend kuna mziki live band
Jioni nenda mkulima bar na madevotion guest house maeneo ya dar street INA jiandae uwe na pesa chenji za buku mbili kwa huduma za ziada(miscellaneous)
Kelele
 
Hebu nitonye mkuu! Mimi pia niko Moshi leo na kesho,sehemu ya kulala na kula ipo tayari,ila msitu ndo bado sijaujua,nnataka nichekicheki wanyama hai! Wapo wapi hapo town?
 
Malindi au black diamond hiyo bidhaa inapatikana
 
Nenda Leopard hotel karib na NMB Nelson Mandela branch huduma zake zpo poa sana
 
Back
Top Bottom