Msaada SD card

paka mbaya

Senior Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
169
Reaction score
49
Nimenunua memory card ya 16 GB lakini nashindwa kuhamishia mafile kwasababu ya error inayosema"write protected" ninawezaje kuitoa hii error
 
kama ni memory card kama zile za camera(zinakuwa ndefu kidogo) huwa kwa pembeni hivi kuna kuwa na kama ki swaitch hivi kidogo kina mshale unaelekeza upande wa lock na unlock so unakisogeza tu hiko...

kama ni memory card hizi ndogo kabisa bila shaka utakuwa unatumia na ile adapter yake ...kwenye hiyo adapter yake nazo pia zinakuaga na kiswitch kama hicho hapo chini..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…