Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Nilishabadilisha screen majuzi, hapo itakutoka kati ya 150k - 220k kupata kioo kipya..
Wakuu mngempa na contacts ya zinakopatikana screen ingekua vyema zaidi kwako na kwa wana JF wengine
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo. Screen zinapatikana either kwa kuorder au kwa kununua hapahapa inategemea na upatikanaji wake. Kikubwa natakiwa kujua aina ya computer yako (Model no) na kama inawezekana part number ya hiyo screen iliyovunjika ndipo nitaweza kukusaidia. Screen zinatofautiana hata kama ni the same size, kuna LED na LCD, pia connection zake zinatofautiana. Kama unaweza nipm nipe model number ya hiyo laptop kisha nikuchekie nikupe exact bei.