Habari za wakati huu wakuu..
Naomba msaada wa namna ya kuweza kupata scholarship za master's degree abroad
Yeyote anaefahamu au mwenye experience si vibaya ukishea nasi wengi wajifunze
[emoji120][emoji120][emoji120]
U.S. Embassy Dar es Salaam fosters mutual understanding between Americans and Tanzanians through a multitude of academic and professional exchange programs.
Halafu wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?